Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,208
- 88,015
Jirani hapo ni kule kwingine nilikuaga. Kwangu sijaanza rasmi. Nitakukaribisha siku mojaUmeanza lini uchoyo jirani? Hata siku moja kunikaribisha hautaki?
Jirani hapo ni kule kwingine nilikuaga. Kwangu sijaanza rasmi. Nitakukaribisha siku mojaUmeanza lini uchoyo jirani? Hata siku moja kunikaribisha hautaki?
Huo mlenda ungekua na sato hapoAisee hapo ugali unaenda vizuri sana
Jirani hapo ni kule kwingine nilikuaga. Kwangu sijaanza rasmi. Nitakukaribisha siku moja
Hangover ya maji jirani? Pole sanaAhsante jirani, nikashangaa uchoyo umejifunza lini?
Naendelea kusikilia hangover...of course na mwaliko siku ukianza kuandaa mahanjumat.
Hangover ya maji jirani? Pole sana
Labda lock ya mlangoHiyo hiyo, nataka nikatoe lock ila naona muda umeenda sana.