Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,546
- 225,121
Unenitamanisha
Leo nikapike zege.
Unenitamanisha
Nimetamani
Haswaa
Ukienda soko la samaki ulizia Kolekole ni samaki bora, tatizo upatikanaj alafu anakubalika kwa mapishi yote kukaanga, supu ww tuAsante mkuu kwa taarifa, hapa Tanzania samaki gani ni bora zaidi?
Kuku ndio wangewahi kuisha😝😝
😂Kapike tu mama. Hamna namna...Unenitamanisha
Leo nikapike zege.
UnajitahidiBaada ya kuteseka na matango na mchicha tangu j3View attachment 2024382
...Baada ya kuteseka na matango na mchicha tangu j3View attachment 2024382
Nitapika keshoKapike tu mama. Hamna namna...
Nimetamani ghafla.
UwiiiiiHiyo Chips Dume inavutia.
Wallahi nakuja Mbagala, nipo kwenye daladala! Hivi nishukie wapi?
Hadi kielewekeUnajitahidi