Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,401
Maneno si ndo haya sasa.
🤣🤣🤣Nyau wee
Rafiki i love you so much.Nyau wee
Mlo kamili. Hongera
Ila sjaelewa
Sana tu na tunda pembeni na pilipili isisahaulikeUmetisha sana.
HaswaaMboga ya haja hii, pungufu Ugali hapo.
Kweli si vizuriView attachment 2020733
Sipendi mtu anayepakua chakula kingi halafu akashindwa kukimaliza na badala ya kukibeba anakiacha kwenye sahani na kuwapa shida wengine