Uzi wa vyakula tu

Wasukuma wenzangu na wanyawez wanaelewa utam hii msusa wa karanga kwa mbaaalii nyanya chungu ungar unauwekea unga wa muhogo ni full kula kujigalagaza
IMG_6516.JPG
 
He! Sasa urojo wa kichina viiipi ankali wakati nimeupsta Unguja yakheee, au kwa vile nimesema mie amiii?

Urojo wachagua weye ati wakutilie vitu gani, kama wataka mdalasini, kachori, mishkaki, mayai, mbatata, saladi. Chips za mihogo..hebu usinshughulishe.
Kula urojo shekhe ukilendemka urukiwe tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom