Uzi wa vyakula tu

Boda to boda
JPEG_20211025_140333_5269912819542340492.jpg
 
missyrose, Lizzy, Angel Nylon, farkhina, binti kiziwi, The Happiness, Saint Anne, na Mafundi wengine wote.

Tunaomba msaada wenu tafadhali.

1746315_IMG-20180423-WA0001.jpg
Tips: 1; Akandie butter au margarine yoyote, dough liwe laini lakini lisilonata mikononi wala sehemu ya kusukumia (tunasema dough limeiva)

2; Asikate chapati ndogo ndogo/ nyembamba, Chapati zake ziwe zina kauzito fulani, sio kama zile za kwa mama niwekee.

3; achomee butter au hata mafuta ya kawaida, ila pan inaweza mbadilishia matokeo, atafute pan moja nzito na non stick.

Vikorombwezo vingine kama kukandia maziwa au nazi havibadili muonekano bali zinaongeza ladha. Btw, Hizo chappo kwenye picha mwenye nazo hongera zake, mimi zangu ni nzuri lakini sio kama hizo za kwenye picha nadhani nimeshaweka picha humu za chappo moja au mbili.
 
#3
Pan ya kuchomea na kiasi cha moto+uzito wa chapati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom