Uzi wa vyakula tu

Usiku
IMG_20211014_160611.jpg
 
Napenda sana Mihogo, nimeitamani hiyo kupita maelezo, na mbaya zaidi pembeni Supu ya Samaki ndio umeniua kabisa.

Kwa jinsi ninavyopenda Mihogo, linapokuja suala la Mapishi, Mapishi yoyote ya Mihogo kwangu sibagui wala sichagui.

Iwe Mihogo ya Kuchemsha, Mihogo ya Kukaanga, Mihogo ya kuunga kwa nazi iwe mitupu, ichanganywe na Samaki, ichanganywe na Maharage au na chochote kile kwangu ni furaha tele.

2963386_IMG_20211014_110349.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom