Na msafi pia...Mwanamke mwenye kucha fupi ni msafi.I think vijana they mean to say you're beautiful from the look of your hands...,
Very vere👌asante sana kupunguza njaa hii
Alhandulillah kitu gani we Jamaa ndizi za kuiva uneweka mchuzi sasa ndo mana nyie Wazanzibari mko lojo tuView attachment 1880516allhamdullilah
Ukijakuta kapika wema sepetu alafu hajapika kabandika picha tu huku mwajuma ndo mpishi.Kabisa! 😂 😂 😂
Mtaalam wa afya ya lishe habari?😁😁😁View attachment 1880516allhamdullilah
Mtaalam wa afya ya lishe habari?😁😁😁m
Ni mchanganyiko wa nini na nini?Mboga yangu pendwaView attachment 1881365View attachment 1881367
Bamia,karanga,kitunguu, magadi.Ni mchanganyiko wa nini na nini?