Hapa utakuwa umenipatia ninachotaka
Lizzy ulipotelea wapi?
Mbn umejiekea kidogo hivyo au utapiga kwa wiki nzimaDemu wangu kaniambia eti dagaa ni mboga za "masikini". Amegoma kupika.
Nimemtimua getto, nikaingia jikoni mwenyewe.
View attachment 1858180
Nakula simbakishii hata punje.
View attachment 1858190
Inaelekea wewe ni mtu na nusu mamaa!!
NakaziaInaelekea wewe ni mtu na nusu mamaa!!
Hiyo mikono tu inatosha kuonesha wewe ukoje.
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Mtu na nusu ndo yukoje?? CAGvsSPEAKER 😁😁Inaelekea wewe ni mtu na nusu mamaa!!
Hiyo mikono tu inatosha kuonesha wewe ukoje.
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Jamani msiniongezee sana hata 68kg sijafika. 🥴🥴Heavy mama
Unaweza kuwa 68kgs na ukawa Big Momma! Maana nikiona hiyo mikono yako huwa nahisi mapigo ya moyo yanaongezeka kasi!Jamani msiniongezee sana hata 68kg sijafika.
🥴🥴🥴Unaweza kuwa 68kgs na ukawa Big Momma! Maana nikiona hiyo mikono yako huwa nahisi mapigo ya moyo yanaongezeka kasi!