chivala
JF-Expert Member
- Apr 13, 2021
- 772
- 2,333
Mkuu nakubaliana!Uupate uliopikwa kwa tui la nazi... Mama! Kando yako bonge la ugali wa moto na glass yako ya juice ya ukwaju, baridiiiii!
Mkuu nakubaliana!Uupate uliopikwa kwa tui la nazi... Mama! Kando yako bonge la ugali wa moto na glass yako ya juice ya ukwaju, baridiiiii!
Hii supu ya maji nini?Leo bilabila
Nisamehe sheikh samahan sanaChief! Daah! Yaani unanionesha hotfire kweli? Si halali kwa upande wangu hivyo!
Boonge moja la mboga mnafu nimeipenda halafu haikifu unaweza kuila kila siku kwa mtindo wa kubadili namna ya kuipikaMnafu na Saladi Ndo mboga zangu kuzipata Dar ni Changamoto
Mnafu ukiutia utumbo na nazi ni hatari sana
Kuna kuku mnafu nayo ni balaa tupu
Sahihi %Upo sahihi kabisa mkuu.Tatizo kubwa ambalo linatusumbua waafrika ni umasikini wetu wa akili wa kuwekeza nguvu zetu,akili zetu,maarifa yetu pamoja na ujanja wetu katika kupata watoto wengi badala ya kuwekeza katika kupata utajiri.
Hii inaingia kwenye kundi la bizzare foodsHii kitu Panya, nani hajaionja?View attachment 1871172View attachment 1871173View attachment 1871175View attachment 1871176
Ndio ndio. Hapa Arusha wanalima sana na ni maarufu hii mboga, ni tamu hakikaUnaitwa Mnavu, hii ni mboga ya watu wenye asili ya tanga(wazigua) Mnavu mbali na utamu wake, lakini tena huongeza damu kwa watu wenye matatizo ya kupungukiwa na damu na hata maafisa wa afya huwashauri wananchi kutumia mboga ya mnavu ili kuinarisha MFUMO wa damu yao mwilini.View attachment 1871221
na kushiba harufu
Mimi ninauza lita5 shilingi 15000 nakuletea popote Dar, ni matamu mnoooooHako lita 3 kama sikosei ni 9,000/10,000
Naelewa chief!Nisamehe sheikh samahan sana
Mnafu na Saladi Ndo mboga zangu kuzipata Dar ni Changamoto
Mnafu ukiutia utumbo na nazi ni hatari sana
Kuna kuku mnafu nayo ni balaa tupu
Chuzi limenitamanisha 😋
Zito eeh? 😂 😂 😂Chuzi limenitamanisha 😋
😃😃 zito sana yani, wali wote unapotelea humoZito eeh? 😂 😂 😂