Uzi wa vyakula tu

Leo boss wangu alikuwa ananambia kuh huu mtindi. Alinambia unaunzwa elfu 18 kigeloni. Sasa ndio namuuliza St. Anne hapo huo bei gani isije kuwa kigeloni kenyewe ndio hiko ka ltr 1 ndio elfu 18.
Hako lita 3 kama sikosei ni 9,000/10,000
 
Nipe njia sasa nifanyeje!
Maana hutii hasara, huli sana nahisi hata matumizi ya nyumbani yatapungua kwa 50%
Dada yangu Angel Nylon hebu mthaminishe wifi yako mtarajiwa!!

Acha watu wale mkuu,raha ya mwanamke ale mshahara wako wote.
Acha kubana matumizi kiasi hicho kama mpare

Yawezekana Mimi sili sana lakini natumia gharama kubwa kwenye mambo mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Acha watu wale mkuu,raha ya mwanamke ale mshahara wako wote.
Acha kubana matumizi kiasi hicho kama mpare

Yawezekana Mimi sili sana lakini natumia gharama kubwa kwenye mambo mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshahara upi tena? Kwani si nilishakwambia kuwa mimi ni fundi niko zangu kitaa napiga kazi!! Then mimi sio mbana matumizi lakini kwa vile hupendi kula utasaidia kubana bajeti
 
Katika vyakula vyote binadamu anavokula, huwa atapenda kimojawapo mimi chakula cha ndizi ndio chaguo langu!
ndizi-1.jpg
ndizi.jpg
mbuzi-2.jpg

View attachment 1870401
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom