Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 23,327
- 69,563
Diet inataka uamue kweli kutoka moyoni. 😜😜Nimeanza Diet ila kuna watu hawapendi mafanikio yangu kabisa,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diet inataka uamue kweli kutoka moyoni. 😜😜Nimeanza Diet ila kuna watu hawapendi mafanikio yangu kabisa,
Hata najua basi. Ila kotmir najua haina roho mbaya.Hivi mint inastawi kwenye mazingira gani?Ni kwenye hali zote za hewa na udongo?
Mkuu wewe pengine mwenyeji wa huko na umezoea na ndio vyakula vilivo kukuza, unaona ni kawaida tu, kero ipo kwa wageni ambae hawajazoeya!Haunuki uvundo mkuu,labda kama mlikuta huo unga umeoza.
Mkuu wewe pengine mwenyeji wa huko na umezoea na ndio vyakula vilivo kukuza, unaona ni kawaida tu, kero ipo kwa wageni ambae hawajazoeya!
Ni kwenye maduka ya pembejeo?Kwa sasa ni Ilala,Kisutu na Buguruni kwa watu wa Dar
Mikoani sijajua
hapana kwenye masoko ya vyakula upande wa viungo haiNi kwenye maduka ya pembegeo?
Embu maliza ugali uwo kijana
Shukrani mkuu!hapana kwenye masoko ya vyakula upande wa viungo hai
Inajulikana kwa jina hilo hilo kuwa ni mint au kuna jina la kiswahili hutumika?hapana kwenye masoko ya vyakula upande wa viungo hai
mnanaaInajulikana kwa jina hilo hilo kuwa ni mint au kuna jina la kiswahili hutumika?
Duh!Aisee!!mnanaa