chivala
JF-Expert Member
- Apr 13, 2021
- 772
- 2,332
Kitu kama hiyo nimeiona Iringa, wahehe mahindi kabla ya kusagwa, huyavundisha kwenye maji baada ya hapo ndio wanaanika na kusagwa unga, huwo ugali wake ukipikwa unanukia uvundo.Siyo sembe tu.Mbeya ina utamaduni wa hovyo sana wa kula vyakula vya hovyo sana,mara vyakula vingine vya wanga mnaloweka kwanza kwenye maji kwa muda fulani ili kuondoa virutubisho.Ni utamaduni wa hovyo kabisa.
Imagine Mbeya ndiyo inaongoza kwa kuzalisha chakula hapa nchini lakini pia inaongoza kwa tatizo la udumavu.Tumia elimu uliyonayo usalimike kwenye haya masuala ya lishe.