Uzi wa vyakula tu

AIF-u-.jpg
 
Mshana tusaidiane kufanya utafiti. Mi naona asilia zaidi ya 75 ya wana jf kwasasa ni mabachela. Yaani misosi yote inayopostiwa humu ni ya single,huoni dalili kuwa kuna familia.

Mbaya zaidi hata haviwekwi mezani. Vingi utaona tiles tu ndo meza. Nisaidie kugundua hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha nadhani wengi wanaogopa kuonesha mazingira yote
 

Similar Discussions

64 Reactions
Reply
Back
Top Bottom