stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 15,826
- 22,935
Hii inafaa jioni,umeshatoka kupiga zoezi la kutosha unapiga hii kitu...
Hii inafaa jioni,umeshatoka kupiga zoezi la kutosha unapiga hii kitu...
Mboga haoitoshi hornet, ugali nne samaki mmoja, au nyie wapare?View attachment 1843251
Lunch hour
Mboga haoitoshi hornet, ugali nne samaki mmoja, au nyie wapare?
huu ni msosi gan mkuu
itabidi Wekeend isiishe sijala mandondoWali mandondo View attachment 1845959
KiporoHAKUNA namnaView attachment 1848302
Hii safi sana kwa afya😋😋😋Hapo unapata choo moja safi sana.
Hii safi sana kwa afyaHapo unapata choo moja safi sana.
Mkuu hii Buguruni Euro pub bado inatoa hii huduma ya supu?Buguruni Euro pub kabla Kulikua na supu koromeo,ndizi na mapupu ebanae natoka Masaki naenda mpaka Buguruni kunywa supu.
Alafu unakamata mlupo pale anyonye bo*lo ukikojoa
Maisha haya
Mpk leo naishi Mungu mkubwa.
Shibela una mume?
Unataka kuniwowa?Shibela una mume?