Uzi wa vyakula tu

Angalia Ile duara nyeupe halafu Ile duara iliyofifia ukiitoa Ile iliyofifia unapata nini?Rangi ni uamuzi wa mpishi, Mimi hupendalea kuweka rangi ya zambarau au wakati naandaa unga ukishakuwa tayari nachota kidogo kidogo naweka rangi tofauti tofauti, sema wengi wanapendelea hiyo ya orange
Ile ni kama imepiga brown ya kuwiva zaidi ilipopikwa. Jalebi huwezi kuzipandishia hivyo mkuu. Huoni zilivyopangwa vilee kama mikate then imelegea. Jalebi zinakaza maana zipo crispy. Na Sio kubwa sana
 
Ukiendekeza sana ndugu utakufa njaa...kamshahara kanakatika na sijapiga hata supu ya mapupuView attachment 1845496View attachment 1845497View attachment 1845499View attachment 1845498
20210708_090838.jpg
 
Ile ni kama imepiga brown ya kuwiva zaidi ilipopikwa. Jalebi huwezi kuzipandishia hivyo mkuu. Huoni zilivyopangwa vilee kama mikate then imelegea. Jalebi zinakaza maana zipo crispy. Na Sio kubwa sana
naona tukubaliane tu kwamba jina moja linaweza kutumika kwenye kitu zaidi ya kimoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom