CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,340
- 5,048
Mnaopost vidudu humu mnaharibu huu uzi kama unakula hayo madudu bakı nayo tu usituletee hapa "UZİ Nİ VYAKULA TU PUMBAVU"
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaopost vidudu humu mnaharibu huu uzi kama unakula hayo madudu bakı nayo tu usituletee hapa "UZİ Nİ VYAKULA TU PUMBAVU"
Hiki ni kiporoNisije nikawa sijachangia chochote hapa.View attachment 1824353View attachment 1824354
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazidi kufanya maisha yawe magumuBoss, wew ndo umefanya ivii
Umenikumbusha sausage za swiz.dahh..Kwa wapenzi wa kiepe...
View attachment 1824087
Ah wapi, wanaijah hawa. 😬Boss, wew ndo umefanya ivii
😱
Zinaitwa ladeView attachment 1824938
Pia Kuna furuHaya madubwana aisee yaache kama yalivyo hadi mate yamenitoka kitambo sana kijijini kwa babu yanapenda sana kando ya mto
KizimbaNimuda wa wakulima kutabasamuView attachment 1824944