Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,354
- 23,255
Kuna mtu kaposti hiki chakula hapa,hiki ni chakula ambacho hakina mawaa kabisa.Yaani ni chakula bora kwa asilimia 90.Imagine Hapo pana dona,mtindi na mboga za majani achilia mbali huo mchuzi fulani!
View attachment 1818131
nitajitahidi nitaanza leo
nitaleta mrejesho