Nala kila kitu hapa! 😬
🤣🤣🤣Ohoooo ..Sio kweli.
Hapo samaki tupa kuleee! Nakunywa maziwa kwanza!Chakula na cha kuliwa
Manyonyo nayo yataka kula
Mmhh. Ndio utakuwa huanzi ivo. Na kesho pia utasema ivo ivoView attachment 1815704
Namalizia kabla sijaanza diet
That's bad craving dearMie hapa tu.
Kila siku husema nile vya mwisho mwisho kabla kuacha lkn wapi. Kesho yake nikiamka tu craving tayari View attachment 1815990
Kule uchaggan hii tunasema "ngararimo zinaiva"
Nahitaji maombi. Kama nmerogwa vile.That's bad craving dear
Dada amebarikiwa majegi 😁
Mie hapa tu.
Kila siku husema nile vya mwisho mwisho kabla kuacha lkn wapi. Kesho yake nikiamka tu craving tayari View attachment 1815990
Kesho mapemaa kwa Dotscup
Jumatatu naanza Diet
Aliyekuroga atakufa amesimama ngoja niingie kilingeniNahitaji maombi. Kama nmerogwa vile.