Diet na yale majani yamekufa kifo cha mende sio?
Mechi ya kufa gari, kufa dereva... 😂WakulungwaView attachment 1814225
Ile ilikuwa one week program ya kukata kilo 5.Diet na yale majani yamekufa kifo cha mende sio?
Ile ilikuwa one week program ya kukata kilo 5.
Inahitaji commitment sasa asee. Unaweza kuanza leo kesho ukaacha 😂Natamani kufanya juice & water fasting
Ila kila nikisikia harufu ya kuku nasogeza tarehe mbele
Inahitaji commitment sasa asee. Unaweza kuanza leo kesho ukaacha
Jitahidi utaweza tu. Ukizingatia na ukapata muda wa kufanya cardio/aerobics daily au hata high intensity exercises kwa week unaweza ku shade hizo kilo 5.Nilianza maji ya mint
Siku mbili nikapat mwaliko nikaacha
Mpaka leo
Pray for me
Nimepandisha kg 5 ndani ya mwezi
Imefanikiwa kwa asilimia ngapi?Ile ilikuwa one week program ya kukata kilo 5.
Naweza kusema 80%+ maana zimepungua 3 na points.Imefanikiwa kwa asilimia ngapi?
Good.Naweza kusema 80%+ maana zimepungua 3 na points.
Nipe utaratibu. Kg 3 kupungua umejitahd sn. Hatua kubwa hyIle ilikuwa one week program ya kukata kilo 5.
Kunywa kwanza dawa ya kusafisha tumbo ukae siku moja then unywe dawa ya minyoo.Nipe utaratibu. Kg 3 kupungua umejitahd sn. Hatua kubwa hy
Pia kuna diet nyingine ya tofauti. Hii nayo unaanza na kusafisha tumbo na kutumia dawa za minyoo.Nipe utaratibu. Kg 3 kupungua umejitahd sn. Hatua kubwa hy
Naona leo CCM wamekutoa out baada ya bunge la budget.Tupendane Kilimanjaro band
Hero EnriqueView attachment 1814693