Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,044
- 74,448
Kipindi bado niko kwa Bimkubwa nilikuwa napenda siku akipika futari ya maandazi kwa maharage then pembeni kuna chai ya tangawizi/chai ya maziwa iliyokolea hiliki au uji wa mtama uliokolea pilipili manga! Nilikuwa nakula mpaka naisahau shibe yangu!