dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,403
- 19,425
Kwa bahati nzuri napenda pilau balaaaEti..hapo ungepunguza pilau unaongeza chips
Kwa bahati nzuri napenda pilau balaaaEti..hapo ungepunguza pilau unaongeza chips
Maghrib wakati wa kufuturu.Magharib ndio wapi huko mkuu
Hii chai ya viungo gani?
Hii yataka maziwa iliyotiwa syrup ya tende, weee 😋Tunakazia futariView attachment 1752134
Nimependa sana jinsi ulivyoset vyakula, lakini huo mkunjo wa chapati sijauelewa na Ramadhan hii
Nimependa sana jinsi ulivyoset vyakula, lakini huo mkunjo wa chapati sijauelewa na Ramadhan hii
Namuomba mdogo wako [wa kike] anayejua kupika Kama wewe.
Mungu anakuonaNimependa sana jinsi ulivyoset vyakula, lakini huo mkunjo wa chapati sijauelewa na Ramadhan hii
Ahaha ni mdogo sana vuta subra akikua kua ntakufahamishaNamuomba mdogo wako [wa kike] anayejua kupika Kama wewe.
Ana miaka mingapi ili niwe mentor wake please.Ahaha ni mdogo sana vuta subra akikua kua ntakufahamisha
14 tu..Ana miaka mingapi ili niwe mentor wake please.
Ivi ile syrup ya tende ni nzuri?Hii yataka maziwa iliyotiwa syrup ya tende, weee
Manjonjo na mapozi hayo.Nimependa sana jinsi ulivyoset vyakula, lakini huo mkunjo wa chapati sijauelewa na Ramadhan hii