Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,401
Rafiki niliipikia familia yangu.Mke pamoja na hawa watoto wangu wadogo wa kike wanavipenda sana.Mmmhhh. Biashara au?
Rafiki niliipikia familia yangu.Mke pamoja na hawa watoto wangu wadogo wa kike wanavipenda sana.Mmmhhh. Biashara au?
Aiseee...mboga saba View attachment 1746025
Hapana. CowMbuzi katoliki?
Umenikumbusha mbali sana mkuu😋😋
Rafiki acha kula kitimoto!🤣🤣🤣
Kati ya hizi na zile dark kabisa gani tamu, mie napendelea zile dark ones!
Hizi kitu unaweza kula mpaka ukauliza niko wapi jamani🤔
Tukaribishane basi!View attachment 1748409
Kwa mama ntilie
Utaviweza hivi?Tukaribishane basi!
Mbona ndio vitu vyangu hivyo. Mi mswahili wa uswahilini kabisa.Utaviweza hivi?
nina hamu na tango ila sipati sokoniWale wa diet
View attachment 1748490
Hatari sana hizi vitu..mimi hata vipikweje naonaga mswano tuHizi kitu unaweza kula mpaka ukauliza niko wapi jamani
Mama kishori sa kumi anabandika bandua sa 12 saa 2 asb humjui kamaliza na hataki umweleze habari za vitumbua.
Ila mama yule alikua analea watu 20+
mle ndani, simple like that wanakula, wanalala wanaenda kuiba wakikimbizwa wanamletea kesi bibi yao.