cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 85,522
- 137,207
Sawaaah bhana lolHiyo ni nyama tu mama kama nyama nyingine
Sawaaah bhana lolHiyo ni nyama tu mama kama nyama nyingine
Leo nilipika vitu-mbuaView attachment 1744122
Huyu mdudu au?
Mzee wa kwio
Mwasho kuruka, upate ugali hot sasa 🤣👌
Ziko 8 moja imefanya featuringmboga saba View attachment 1746025
Mboga saba remixZiko 8 moja imefanya featuring
Mmmhhh. Biashara au?Leo nilipika vitu-mbuaView attachment 1744122
Home sweet home! Is this a chair fire eeh?😋😋
Mbuzi katoliki?
WapiBuchani
Hiyo style ilio tumila kufunga chakula babu alinambia walitumia kufunga makukuru wakiwa wanaenda nacho shuleTupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula View attachment 566179View attachment 566180
Sent using Jamii Forums mobile app