Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,561
- 47,006
Safi hiyoNmebatika kupata kipande cha sato.View attachment 1718233
Kitu cha hot-chair, duh! ♨️😋My apology kwa ambao sio watumiajiView attachment 1718539
Msosi wa mechiDona, ndondo nazi, samvu nazi, dagaa mwanza, sharbati dodoView attachment 1718613
Baada ya hapo naenda kumalizia ile nusu ekari iliyobakiMsosi wa mechi
Huu mzigo nimeuelewa, sasa hapo mzee baba na huo msosi ndiyo uwe sasa na mechi kama hii ya simba ya leo nahisi natupia double hat trickDona, ndondo nazi, samvu nazi, dagaa mwanza, sharbati dodoView attachment 1718613
mpini wa chuma chifu,hapa nna gloves kuhifadhi viganja tuHahahaha..angalia jembe lisijevunjika mpini
Mkuu kwani vita??Dona, ndondo nazi, samvu nazi, dagaa mwanza, sharbati dodoView attachment 1718613
😀Vipi tena Ba mjengo