Nikajua ni kile kingine (cha usiku)
Upate na dona sasaHii inaitwa hasara roho.View attachment 1717895
mafuta hayo duu sipendelei kabisaaHii inaitwa hasara roho.View attachment 1717895
Viungo big sio mafutamafuta hayo duu sipendelei kabisaa
Mwendo wa kulumangiaAfya tupu
Hii ipate combination ya chapati juu, duh! 😝View attachment 1713243
Hii ilikuwa wiki ya kula kuku
Kopo la uzima hilo, afya tele! 🤣
Naona mchemsho hapo juu, au macho yangu tu?Nmebatika kupata kipande cha sato.View attachment 1718233
Habari ndo hiyooo! 👌😋
Leta moja baridi, moja moto! Fasta ya dwasi basi! 😋🏃🏾
Mwagia maji ya limau juu, ngoma itambae!mafuta hayo duu sipendelei kabisaa