Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 8,313
- 16,481
Ukitoka hapo laziim ukasaidiwe oxygen kama mgonjwa wa CovidMsosi unavutia! Ila huu ni ulafi mavitu yote hayo tumbo moja!!
Ukitoka hapo laziim ukasaidiwe oxygen kama mgonjwa wa CovidMsosi unavutia! Ila huu ni ulafi mavitu yote hayo tumbo moja!!
MashaAllahWeka chai unayotaka hapo.View attachment 1702808
Simuoni hapa kumbe ana red cardMzee wa vyuku ukitoka kifungoni ukaribie huku View attachment 1711059
Zamani sana. LolSimuoni hapa kumbe ana red card
Chai rangi iko wapi? 👌
Aliwatukana makada Stroke na Cocochanel.Kisa cha mkasa?
🍵🍵🍵Chai rangi iko wapi? 👌
Salamu toka nchi jirani ✌️
Safi sana bwana misosi imetulia hiiChakula cha usiku kiwe kilaini kidogo.View attachment 1711254
Na limauMchawi pilipiliView attachment 1711195View attachment 1711196
Ya maziwa ndio mwakweWakuu hapa niweke chai gani.View attachment 1711444