Yes bossHiyo pilipili umetengeza mwenyewe
Unakulakula sana lakini hata chura haiwi kubwa!🙂🙂🙂Home kabisaa yaan daaah, boga afu ndo wakati wake huu.
we mzee wa chura hebu niache, basi nigawie hao wa kwako unaowafuga lolUnakulakula sana lakini hata chura haiwi kubwa!
Nimesahau nini hapo.View attachment 1709860
Mlo uko mukideee,Kumekuchaaa View attachment 1709640
Nasukutua boga, nalishushia na maziwa wakati huo mkono mmoja unamenya yai,sijamaliza vizuri nshadaka chapati na gonga na juice,narudi kwenye maziwa na viazi ndio namalizia matundaKumekuchaaa View attachment 1709640
Unajitahidi kupika babuuh,
Ni nzuri inaonyesha inawasha na ina ladhaYes boss
Mkoo mtu tatu
Lizzy banah mambo yake ya moto ya moto safi