Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 8,297
- 16,462
Cake ya nyama
Angel mautam!View attachment 1640224
Cake ya nyama
Hoteli za zenji zinaendaje kwa doubleTayarisha kama 1M chenji inaweza ikabaki
Mhmhhhh sante upo vizuri
Angel mautam!
Hoteli za zenji zinaendaje kwa double
Nani kama Lizzy?
Sawa mamiSubiri nikuulizie kwa wenye uzoefu
Hii keki ya nyama, nilihisi ni chips yaiView attachment 1640224
Cake ya nyama
Hii keki ya nyama, nilihisi ni chips yai
Sijampata Lizy lakini
sawa sawa mkuuKwenye Msosi wangu huwezi kukosa Karanga au Rolex au vyote kwa pamojaView attachment 1641159
sijamuona dada yangu,vipi ulikuja huko kuwapikia nini mkuu?wanaume wa magetoni tukiamua tunawezaView attachment 1641147