Uzi wa vyakula tu

d88fdd86-0dbb-417e-81d9-3dd68dc3ac27.jpg
 
Yanaitwaje? Ndani yakoje?
Mi siyafahamu ila napenda sana matunda.
Kwahiyo lugha ya kabila letu tunaita mafwisa..
Kiingereza "giant yellow mulberry or monkey fruits"

Ndani Yana mbegu yake kubwa katikati..yanaliwa,unabandua hivyo vipande ,unakula kimoja kimoja kama unanyonya..utamu ukiisha unatupa peke.
 
Tafadhali tufaamishe,me siyajui ingawa yanavutia kwa nje

Kingsmann
Maelezo yake hayo juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom