Clarity
JF-Expert Member
- Jul 6, 2010
- 1,585
- 2,083
Nimekutumia recipeAsante dear, unaziloweka kwanza? natamani kupika ila sijui kuhusu kupata unga, please naomba msaada process za kutengeneza unga wake, asante
Nimekutumia recipeAsante dear, unaziloweka kwanza? natamani kupika ila sijui kuhusu kupata unga, please naomba msaada process za kutengeneza unga wake, asante
duh!! hu ni ugomvi na tumbo langu
Vitu vyangu hivi babyBila kusahau ile kitu unapendaView attachment 1635092View attachment 1635093
Sema nimeshajua wewe mvivu kupikaBila kusahau ile kitu unapendaView attachment 1635092View attachment 1635093
Upo kwenye uzi wa mapishi utazidi kuwa chibonge, utakua muda wote unatamani kulaSi upike hiyo hamira hapo ule.mbona mnafanya maisha yanakuwa magumu hivyo
😅😅😅kwani jiraniUpo kwenye uzi wa mapishi utazidi kuwa chibonge, utakua muda wote unatamani kula
TH unaishi wapi nije?Bila kusahau ile kitu unapendaView attachment 1635092View attachment 1635093
😀😀😀njoo huku Moshi ufaidiTH unaishi wapi nije?
Sema nimeshajua wewe mvivu kupika