Ewaaaa....hapa sasa nimekupataa
Mdudu handsome!?
Yupp!!!!!!Mdudu handsome!?
Duuuh,, hyo mashine asee,. Anakimbiza show sio poah yanHuyu dada ni member mwenzetu kwenye hii forum na huwa anapost vyakula mara kwa mara hapa,je unaweza kubashiri ni nani?View attachment 1633475View attachment 1633476
Hana kinywaji, so It's obvious kwamba sio Saint AnneHuyu dada ni member mwenzetu kwenye hii forum na huwa anapost vyakula mara kwa mara hapa,je unaweza kubashiri ni nani?View attachment 1633475View attachment 1633476
Hana kinywaji, so It's obvious kwamba sio Saint Anne
Kabichi naziweka pembeni
Mie nazipenda 🙂🙂Kabichi naziweka pembeni
chakula cha nguvu💪💪
Natumia blenderNAZIPENDA SANA, KUNDE UNAZISAGA NA NINI?
Huyu dada ni member mwenzetu kwenye hii forum na huwa anapost vyakula mara kwa mara hapa,je unaweza kubashiri ni nani?View attachment 1633475View attachment 1633476
Hana kinywaji, so It's obvious kwamba sio Saint Anne
Naona wanakutetea mkuu!
Hilo tumbo la kujaza ugali wote wote huo nalitoa wapi??Naona wanakutetea mkuu!
Mkuu kuna taarifa kuwa hapo ukipewa kitu kama soda hivi hata huo ugali hautoshi!Hilo tumbo la kujaza ugali wote wote huo nalitoa wapi??
Huo mlo wa siku 2
Ni kweli kabisa kaka mdeeMkuu kuna taarifa kuwa hapo ukipewa kitu kama soda hivi hata huo ugali hautoshi!