Uzi wa vyakula tu

12320111.jpg
20201112.jpg
 
Wewe ni mzenji , wazenji na mapishi yenu ni hatari, mnapikaga vibarazani nyei hamtaki mambo ya jikoni

Khaa, hamna kitu kama icho ukiona mtu anapika barazani basi ujue chakula cha biashara hicho. Sina hakika sana lkn siwezi kusemea mitaa yote pengine inategemea ntaa na ntaa. Mie nimekulia gate kali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom