Bwana Fulani
JF-Expert Member
- Mar 25, 2019
- 623
- 3,164
Aise! 😄Nina kg62 tu mimi ni Mpishi Mzuri ila sio mlaji familia yangu ndio inafurahia
Aise! 😄Nina kg62 tu mimi ni Mpishi Mzuri ila sio mlaji familia yangu ndio inafurahia
Ni wapi hapo?
Hiyo sehemu unayosema unapenda kwenda. Maana naona wanachakula kinachovutia macho.Sijakuelewa
Katakata boga weka chumvi mafuta kidogo kama Una olive oil itakua bora zaidi weka pilipili mtama na ya unga kidogo Saumu changanya vyote tia kwenye oven
Mchopa umetisha sana,
Hiyo sehemu unayosema unapenda kwenda. Maana naona wanachakula kinachovutia macho.