Uzi wa vyakula tu

Mboga
543290.jpg
 
Dada mtaalam..naomba uliza swal.kuna siku mchepuko nilienda kwake akanipikia kuku.wali harage na mboga flan ya majan ilikua nadhan chinese ile ila sasa ule utam sjawai kula mboga tam kama ile..sjui aliweka maziwa mule sjui nn...kila nikimuuliza recipe anasema nimuoe atanambia....ilikua na ka usukar kwa mbaal...halaf nzito. Heb nisaidie labda unaelewa

Itakua alikoleza tui bubu huyo tui bubu likikolea na mpishi akiwa mzuri weeh utamu kama wote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom