Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,188
- 27,043
aahhh wap..yule mbona namjua hajui hata kupika mboga ya majanNimepikiwa na wifi yako mpya
aahhh wap..yule mbona namjua hajui hata kupika mboga ya majanNimepikiwa na wifi yako mpya
Nadhani yanakua sio fresh, au yamekaa sana, ila ya mkoani unayatoa shamba unachoma/kuchemsha unapata ile ladha original, unaweza ukayala kama lunch na maisha yakaendelea
Safiiiii
Hapo nimekuelewaNadhani yanakua sio fresh, au yamekaa sana, ila ya mkoani unayatoa shamba unachoma/kuchemsha unapata ile ladha original, unaweza ukayala kama lunch na maisha yakaendelea
Kama ulikuwa hujui vileHapo nimekuelewa
Mimi kilaza nijulie wapiKama ulikuwa hujui vile
Haya kilaza umejulishwa sasaMimi kilaza nijulie wapi
Ndiyo nimejua sasa, na wewe ni kilaza kwaniHaya kilaza umejulishwa sasa
NdioNdiyo nimejua sasa, na wewe ni kilaza kwani
Bora umenisaidia best, huyu alitaka tu nimjibuKama ulikuwa hujui vile
alikuwa na hamu tu ya kuquotiana na mremboBora umenisaidia best, huyu alitaka tu nimjibu
alikuwa na hamu tu ya kuquotiana na mrembo
Mtende usiunge mkono hoja
Kwa kuwa unaujua moyo wangu sanaalikuwa na hamu tu ya kuquotiana na mrembo
IliBora umenisaidia best, huyu alitaka tu nimjibu
Nimesema kulingana na nilichokionaKwa kuwa unaujua moyo wangu sana
Kuna watu yeye hata kama ananua jibu, unakuta haamini jibu lake mpaka alihakiki kutoka kwa wengine
Ni wivu tuuu!aahhh wap..yule mbona namjua hajui hata kupika mboga ya majan