mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,412
- 8,398
Itakuwa alianza kula huku ana uzingizi,si unaona hata hakajala sana.
Itakuwa alianza kula huku ana uzingizi,si unaona hata hakajala sana.
Napenda hilo ulilolisema kwasababu nia ni kujifunza vitu vipya lakin siyo wote wanaweza kutoa ushirikianoMkiwa mnaweka vyakula wekeni na jina lake basi.... na matayarisho yake.
Ni ombi lakini.
Wewe ni Chef?Napenda hilo ulilolisema kwasababu nia ni kujifunza vitu vipya lakin siyo wote wanaweza kutoa ushirikiano
Usisahau kutufundisha kwa mfano
Hapana mkuu mi mama wa nyumbani tuWewe ni Chef?
Waruhusiwa mkuu... nilitaka kujifunza kwako nilijua wewe ni Chef.Hapana mkuu mi mama wa nyumbani tu
Ujuzi wa uswahilini tu,au haturusiwi!?
Asante mkuuWaruhusiwa mkuu... nilitaka kujifunza kwako nilijua wewe ni Chef.
Heshima kwako.
Vitu vyako hivi+bapa!Njaaa
Mkuu hebu jishikirie kidogo! Hii menu si ya mshikaji hii plus kaifungulia uzi kabisa wa "KARIBU TULE DONA" 3 hrs ago. Duh now umetupostia huku! We kweli mkareee!
Mboga ya kitimoto iko wapi?
Ooh kumbe humu tunatupia tu hata kama hatuliWala sijasema ni msosi wangu nimetupia tuu