Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,559
- 47,002
Happiness hakika utakua mchagaMate yamenijaa
Happiness hakika utakua mchagaMate yamenijaa
Happiness hakika utakua mchaga
Mhmh sawa, basi utakua wa kanda ya ziwaAi Jamanii, napenda tu ndizi nyama
😂😂😂😂 haa bora nikubali Kaskazini yaisheMhmh sawa, basi utakua wa kanda ya ziwa
And what wl u call this menu??View attachment 1570782
Jana hii
View attachment 1570783
Leo nikale wapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe tupo jirani kabisahaa bora nikubali Kaskazini yaishe
Hii mboga na ugali ni tatizo
Kwa nini mkuu?Hii mboga na ugali ni tatizo
Sikipendi hiki chakula mwenzenu nakula nisife tu
Lizzy unaonekana unapenda ubwabwa kama mimi
Aisee kwanini?Sikipendi hiki chakula mwenzenu nakula nisife tu
Swali lako linafikirisha sanaAisee kwanini?
Hamna mbona rahisi tu,Swali lako linafikirisha sana
Kwa mfano ungekuwa wewe ungejibu vipi?Hamna mbona rahisi tu,
Vingine nnavyopenda vinatia uvivu kupika 🙈🙈Lizzy unaonekana unapenda ubwabwa kama mimi
Mboga pekee ya kulia ubwabwa ni maharage tu baaas na hapo ndio unakuwa umefanya matumizi sahihi ya mcheleVingine nnavyopenda vinatia uvivu kupika
Alafu uzuri wa ubwabwa waeza kula na mboga yoyote.
🤝🏻🤝🏻🤝🏻 🙂🙂Mboga pekee ya kulia ubwabwa ni maharage tu baaas na hapo ndio unakuwa umefanya matumizi sahihi ya mchele
Rojo moja matataKwa nini mkuu?