Uzi wa vyakula tu

Sijui kwann kafuta hiyo comment yake wakati ni ya msaada kwelii
Alienda mbali akaweka picha
Na kweli amefaulu zoezi la kupunguza mwili
Nimeona picha yake,tips alizotoa hapo juu kweli zinafanya kazi..nakushauri dada fuata ushauri wake na matokeo utayaona.

Mimi pia nikaweka...kuna raia hawajapenda hii kitu ndiyo maana amefuta kila kitu.
 
Ila watu bwana kwanini hawajapenda wakati kaelezea kitu kizuri?? Ngoja nimsearch nimPM anielezee uzuri yaani nikifika target sitokuja kunenepaaa tena
 
Nadhani shida ni picha
Japo binafsi sikuona Kama ni shidamaana ilikuwa Kama inspiration kwa watu jamani
 
Nadhani shida ni picha
Na niliiweka as evidence that I know what I'm talking about, sio empty words tu. Been there, done that. So naelewa the struggle.

I thought it would inspire, not offend others who might be struggling with weight. Hata mimi nilikuwa inspired by before & after pics za watu.

Ila kuangalia jina la uzi: Uzi wa vyakula tu. Nikaona nimekosea.
 
Lakini ni Jambo la kunufaisha watu wengi mkuu
Amini wenye uhitaji huo wanatamani wangeona na hawajaona..wasio na uhitaji wakusamehe wapite kimya
Binafsi sikuona Kama ni Jambo la kukera kwa Sababu si lazima mtu uangalie kila kitu..ukiona hakikufai si unapuuzia tu
 
Kila kitu kina mahala pake sahihi. This was not the place.
 
Huu Uzi binafsi umenisaidia Sana na Kuna watu walinielekeza hapa kuhusu diet nzuri kwa watu wa vidonda vya tumbo na namshukuru Mungu nimepona.
Wangeogopa kunielekeza kwa kuhofia kwamba hapa siyo JF doctor si hadi Sasa ningekuwa naumwa.

Kuna mtu kaja hapa ana shida yake ameuliza kuhusu vyakula vya kula amefanyiwa operation ya utumbo.

Au Kuna baadhi tu ya vitu visivyofaa vinaruhusiwa kujadiliwa na vingine haviruhusiwi?
 
,
IMG_20200918_135145.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom