Leo mimi bila bila
Balanced breakfast
Yes
Kweli chips ni mboga
Chips kavu lazima uzichukie.Sipendi chips.. nilichukua kidogo nione kama nitaweza
Umeshiba?
kwa hiyo huo ubwabwa na sato umepika mwenyewe?Sijui pika..
BTW hua sili chips na ndizi.
Ndio najaribu hvo
Ijumaa nina order sahani za biriani kama zote jitayarishe
Mgo jwa waendeleaje?