Huwezi amini msosi huu umepikwa na mwanaume broEeh...
Jr
Hahahaha!
Mimi nakula ugali hata asubuhiHahahaha!
Hmm! Sasa hiyo ya asubuhi, mimi siwezi
Ugali wa kisukuma huo.yaan ukimpiga nao mtu anatoka alama na damu juuu
punguza kuweka unga mwingii
Bata point#BabantilieView attachment 1456653
Bata point sio??#BabantilieView attachment 1456653
Mimi ugali napenda kula muda wote ila kuwe na mboga tamuHmm! Sasa hiyo ya asubuhi, mimi siwezi
Ila hapa ndio nimegundua sababu ya wewe kula ugali asubuhi
Naam! Kamanda hujakoseaBata point sio??
Yap! Yap!Bata point
Maji+unga=ugaliWaungwana toeni recipe za kupika leo basi.
NiceMaji+unga=ugali
Washa jiko weka sufuria yenye maji kiasi. Koroga unga kadiria uji usiwe mwepesi wala mzito sana. Koroga mpaka ukianza kuchemka uache uchemke kwa dakika 5. Baada ya hapo ongeza unga kidogo kidogo huku ukisonga. Songa mpaka usikie ugali unanukia na mwiko haunati. Baada ya hapo ipua na ugali wako utakua tayari kuliwa.