Uzi wa vyakula tu

E2C208BF-9BEF-489D-85F0-A09BD831A4FB.jpeg
 
**** chakula gani kisichokuwa na calories?
We jamaa
Kila chakula kina calories na ndio maana mnaambiwa mfanye mazoezi ili kuondoa calories...
Ugali unaokula kuna calories kibao...

Labda ungesema
Chips za vibandani si salama kutokana na hazioshwi vizuri, zinakaangwa kwa mafuta machafu na yaliyoungua.

Kula kila kitu muhimu kufanya mazoezi.
Wewe uliesoma unajua nini kwani? Kama huwezi kujua hata chips zina calories sasa umesoma nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom