Naona watu wanapost misosi kila siku...siku nikiamka viziri nitaleta uzi wa kutengeneza dessert murua na ya haraka.
Inshaallah.
Hapa Kuna kunyanyuka kweli duh
Chinese
Shemeji yetu mtu wa wapi mkuu??Home made lunch
Cc my wifeView attachment 1259537