Uzi wa vyakula tu

Mdogo mdogo
IMG_20191010_175543.jpeg
 
Habari yako man!

Mzee hizo kuna shemeji yako ni barista ndo anatengenezaga. Kukupa contacts itakua ngumu mnooo . Mimi mtumiaji tu, waweza cheki tutorials youtube si ngumu hata.View attachment 1225382

Mkuu umenichekesha sana kwamba Contact hapana, sisi wengine hatuna mambo ya kijinga tunafata yaliyo tupeleka na kama ni darasa anafundisha analipwa anaheshimiwa kama mwalimu tukimaliza kila mtu anachukua njia yake
 
si unajua mjini hapa "abiria chunga mzigo wako". Hata hivyo sasa hivi yupo mbali kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom