Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,127
- 11,906
Nimekikumbuka kile
Yani mpaka majiran watashangaa
Yani mpaka majiran watashangaa
Huyu ni mbuzi ama mdudu.
Wee Mama punguza kula!
View attachment 1196590 mapambano yanaendelea
Nilikuwa nafikiria kitu hicho hicho.Mbona unatumia mwiko wa chuma kwenye nonstick pan ?
Huwa sipendi kolabo ya samaki na nyama
Halafu ni kweli ujue..unakuta mtu anapiga wali,nyama,maharage na samaki juu..😂Watu wengi wanakula mboga sawa mf nyama Maharagwe samaki zote protein
Halafu ni kweli ujue..unakuta mtu anapiga wali,nyama,maharage na samaki juu..
Moja ya mboga za majani nizipendazo ni mchicha, majani ya kunde.View attachment 1196590 mapambano yanaendelea
Utapata kitambi wewe mrembo..Karibuni tuporokeView attachment 1197304