Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona picha nyingi mkiwa mnachoma kuku pembeni kunakuwa na mahindi, huwa mnayapata ndani ya kuku? Au siku ya kuchoma kuku ndo siku ya mahindi pia
Donati ya ajabuChamdekoooo ninini hiki mamaView attachment 1133176
Hapa nimetambua tikiti tu
Wapare na samaki, sijui mliachiwa laana?
Wewe njaa inakusumbua tu karibu kijijini kwetu summer mahindi na kuku +bia ndiyo swagaaaa.Nimeona picha nyingi mkiwa mnachoma kuku pembeni kunakuwa na mahindi, huwa mnayapata ndani ya kuku? Au siku ya kuchoma kuku ndo siku ya mahindi pia
Hadi nimesikia njaaWikiendi
#rahajipemwenyeweView attachment 1134925
Asee, Polee!Hadi nimesikia njaa
Nimeona picha nyingi mkiwa mnachoma kuku pembeni kunakuwa na mahindi, huwa mnayapata ndani ya kuku? Au siku ya kuchoma kuku ndo siku ya mahindi pia