Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,406
Njoo sasa tuleeee msos unaivaaa
Yaani wewe ungekuwa ndugu yangu ningekutoa zawadi
Yaani wewe ungekuwa ndugu yangu ningekutoa zawadi
Asante ila nina aleji na wali na hicho kitowewo. Mi ndio nimemaliza hapa niekaa sakafuni ule mkao wa kulia biriani.Njoo sasa tuleeee msos unaivaaaView attachment 1134843View attachment 1134844
Asante ila nina aleji na wali na hicho kitowewo. Mi ndio nimemaliza hapa niekaa sakafuni ule mkao wa kulia biriani.
Hongera naona unayawezaView attachment 1134850
Asante ila nina aleji na wali na hicho kitowewo. Mi ndio nimemaliza hapa niekaa sakafuni ule mkao wa kulia biriani.
Hongera naona unayawezaView attachment 1134850
huo ni mchemsho wa samaki umetupiwa tambi mkuuHii combination noma
Nimekujiibu. Fundi mitambo mwenywe.
Nimeamua na Kukaa chini ili nifaidi vizuriView attachment 1134840
Sijawahi ona hiihuo ni mchemsho wa samaki umetupiwa tambi mkuu
Kazi unayo. PoleMm siruhusiw kula nyama yeyote zaid ya samaki huwa naugua kabisaa sijui wanaitaje ule ugonjwa hivyo natumia mbg hizoo Mara nyingi nageuza zinakuwa nyamaa
hii sidhani kama ingepita kny koo. huo ugonjwa wako hauna dawa?Hahahaha ila mchana nilkula hiiView attachment 1134852
Khaa! Hili andazi au majaribuu?
Hayo majani ni ya bange au mrungi?