Dah... minyoo yangu inaumia sana... Itabidi ifike mahali tupangiane cha kupostWenye kesi ndani mashahidi nje View attachment 1107413
Hiyo keki apo imeharibu..alafu viazi mixer yai sijui itakuajeKaribuni breakfast. View attachment 1108048
Hiyo keki apo imeharibu..alafu viazi mixer yai sijui itakuaje
Umesahau na gimbiHiyo keki apo imeharibu..alafu viazi mixer yai sijui itakuaje
Unaongelea kiushuzi au?
Nilikua najiuliza ni kinn hicho cheusi kumbe gimbiUmesahau na gimbi
Gimbi hilo dadakeNilikua najiuliza ni kinn hicho cheusi kumbe gimbi
Leo una-show nini mzee?Karibuni breakfast. View attachment 1108048
Kwani hizi picha unadownload!!
😀😀Kufungua picha zako kunatakiwa kujiandaa kisaikolojia
Kuna mtu uko juu anauliza ni za kudownload 🤣🤣