billionea alpha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,444
- 1,647
Nyie. Mjue kuna watu wana lala njaa
Kande limekubalii
Haya bwana aina noma washindi nyie.Sio mbaya ukifunga usiku
Dah,umenitamanisha jumapili nalipikaHangover killerView attachment 1096954
Hata Kwa bure hujanilishaNyumban nile sausage moja naumwa zkpungua ni 3
Hiki cha kudownload kama sio kuscreenshot
NiceNakula kwa tabu sana nilijua leo simba nalala kwa raha ila sevilla imenifanya nitulie kbsView attachment 1105994
Hii ni breakfast ya___________Break fastView attachment 1102774
Sishangai kukuta menyu janja kama hii nyumba ndogo.