dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,405
- 19,425
Iftari
Nikimaliza kula lazima niharisheee
Hujakabwa kweli??Pilipili ya kutoshaaView attachment 1102410
Hujakabwa kweli??
Hapana huu ni mzinga wa bataView attachment 1097735bata mzinga
Maana mboga haina mchuzi/RojoKwannn
Dah...! mimi nina hichi tuuView attachment 1102416
Mpishi wako fundi wallahi
😂😂Dah asavali... Kiroho kilikuwa kinavuja wivu
Alafu utaweza kwenda kubeba zege hapo au kutindua makinikia ya mariam birian?Break fastView attachment 1102774
Alafu utaweza kwenda kubeba zege hapo au kutindua makinikia ya mariam birian?
Ndio maanake mkuuHahaha..ulitaka asubuhi hii ale ugali wa udaga sio??