Tatizo mke sasaYaani wewe unakula ubwabwa umenona hivi halafu unasema ubachela shida, wenzio wana wake hawawezi kupika hivyo
Tatizo mke sasa
Wa kuja kuwa mfanyakazi wa ndani wa kujitoleaMpango gani? Naomba nikumbushe
Mabinti wote hawa unashindwa nini kujibebea,mmoja
Umeona kilichotokea kwa Gwajima ndo nimechoka kabisa
Sio uoga inabid ujihami hasa kama mimi,bint unadhani mcha Mungu kumbe looh!acha uoga kijana
Sio uoga inabid ujihami hasa kama mimi,bint unadhani mcha Mungu kumbe looh!
Ni kweli tahadhari muhimu. Tuletee msosi basi
Unakula Colgate pamoja na dettol?
Hii ilikua special orderDah...... Nitaipataje hii
😅😅 kwangu utapaweza kweli naishi UK (Uru Kishumundu)Wa kuja kuwa mfanyakazi wa ndani wa kujitolea
Umenitisha uliponiambia UK, ila sio sana maana mi mwenyewe nipo UK (Ukonga)kwangu utapaweza kweli naishi UK (Uru Kishumundu)
🤣🤣🤣Umenitisha uliponiambia UK, ila sio sana maana mi mwenyewe nipo UK (Ukonga)